[wanabidii] Lowassa ameaanagukia wamachinga?

Sunday, July 07, 2013
Mheshimwa Lowassa huwa nakuunga mkono katika harakati zako za kusaka urais ,lakini hili la kutumia jukwaa la machinga kuinya serikali ya swahiba wako iache kuwabughuzi wamachinga ninakupinga  wazi kwani huu ni uchochezi.

nasema hivyo kwasababu nakukumbuka fika ni wewe ukiwa wazirti mkuu uliowaitia wahariri ikulu na kuwajulisha azima ya serikalikali yako kuwafukuka wamachinga ktka ya jiji  mara baada ya kuongoza serikali maarufu kama brother 11 men.
 mkapa aliondoka akaacha vibanda vya sigara na mamama ntilie katika kati ya jiji la dar es salaam , lakini wqewe ulipoingia kazi moja ni kuwasambaratisha sasa tangu umejiuyzulu unaanza tena kuwakumbatia nakuwataka wasibuguziewe wewe hukuona hayo ulipokuwa madarakani?

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments