Ndugu zangu,
Safari ya Obama ya kisiasa imeanzia mbali. Mwandishi David Remnick kwenye kitabu chake; 'The Bridge' anasimulia pale Barack Obama, akiwa kijana mdogo na mchanga kisiasa , alipofanya maamuzi magumu ya kumvaa mkongwe Bobby Rush kuwania Useneta wa Illonois mwaka 1992.
Obama alishafahamu, kuwa Mzee Bobby Rush ameshafanya maamuzi ya kuwania nafasi hiyo. Hata hivyo, baada ya kutafakari sana, Barack Obama naye akafanya maamuzi yaliyomshangaza hata mkewe, Michelle Obama. Ndio, Barack Obama aliamua kufanya kile ambacho wengi walidhani kisingewezana, kufikiri hata wazo la kumvaa mkongwe Bobby Rush.
Kabla ya hapo Obama alijitafakari sana na kujiuliza maswali kadhaa. Ni pamoja na haya;....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3680-obama-alipoamua-kumvaa-mkongwe-bobby-rush-kwenye-useneta.html#.UdMpFJyNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments