Na Born Again Pagan
Baada ya kuyataja baadhi ya matukio ya miaka kumi ya kuanzia mwaka 1960, na jinsi yalivyojenga mkitadha wa msimamo mkali kwa baadhi ya wanafunzi waliohitimu mwaka 1960, makala haya yanayaendelea leo kueleza juu ya hali ya maisha hapo Mlimani, hususan mika ya 1966 hadi Machi 1970; vikundi vya wanafunzi; .
Nilianza masomo ya chuo kikuu hapo Mlimani (1966) katika mazingira hayo ya kusisimua yaliyokuwa yamejijenga au kuendelea kujijenga. Kampasi (Campus) ilipendeza sana, wanafunzi wa kwanza ndio tu walichangia vyumba vya kulala, isipokuwa wale walioishi Hall No. 1 (London Hall). Mashuka yalibadilishwa kila siku ya Jumanne. Chakula kilikuwa ni kizuri sana: mayai kutoka Israel, nyama (ng'ombe na kuku) na apples kutoka Australia, na samaki sijui kutoka wapi! Chai na biskuti kwa wingi saa nne asubuhi na saa kumi alasiri.
Mwanzoni mwa mwaka, tulikipewa pesa za matumizi, ikiwa ni pamoja na....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3681-msimamo-mkali-wa-vijana-wa-mlimani-vii-maisha-mlimani-yalikuwa-mswano-tulikula-mayai-kutoka-israel-nyama-australia.html#.UdM03pyNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments