[Mabadiliko] Historia Ya Kombe La Dunia ( VII); England Vs USA- Wajivuni Dhidi Ya Wachimba Migodi!

Tuesday, July 02, 2013
Historia Ya Kombe La Dunia; England Vs USA- Wajivuni Dhidi Ya Wachimba Migodi!

Na Maggid Mjengwa,


BILA kupoteza muda, leo nitasimulia juu ya matukio makubwa mawili
katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka 1950 kule Brazil. Tukio la kwanza
ni lile la mabingwa watetezi Italia kufanya vibaya kutokana na woga wa
kupanda ndege. Lingine ni lile la ujio wa England na kilichotokea kwenye mechi yao dhidi ya Marekani ambapo, England waliwaita Marekani kuwa ni " Wachimba Migodi"-
Washamba wasiojua kandanda.


Naam, kama tulivyoona huko nyuma, jinsi wachezaji wa Italia
walivyotumia muda mwingi majini kusafiri kwenda Brazil. Kitendo hicho
kiliwanyima Italia nafasi ya kufanya maandalizi...Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3682-historia-ya-kombe-la-dunia-vii-england-vs-usa-wajivuni-dhidi-ya-wachimba-migodi.html#.UdM7I5yNCAg

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments