[Mabadiliko] UJUMBE HUU UNA UKWELII??

Tuesday, July 02, 2013

Nimepokea ujumbe huu muda wa mchana.Je taarifa hizi ni za ukweli au uzushi?kama zinaukweli hii sasa balaa!!

CCM wameleta makontena ya nguo za M4C kutoka China, wameleta mpaka heleni nk.
Watavaa wafanye fujo na matukio ya ajabu ili waseme ni CHADEMA.
Hizo ni strategy za Mwigulu ili kuharibu uchaguzi wa madiwani Arusha mjini.
Lakini viongozi wa CHADEMA wameshagundua huo mchezo na wanakutana ili kujadili na watatoa tamko leo mchana.
(Sms hii imetoka CHADEMA makao makuu, hivyo itume kwa wana M4C.

Regards,
Jonas

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments