[Mabadiliko] Kwenu Wazazi, Mtoto Ukimnyonyesha Atajiamini Ukubwani...

Sunday, June 23, 2013
Ndugu zangu,

Bila shaka kuna dada zangu hapa wameshaanza kuguna na kusema; " Haya, huyu mwenyekiti wetu leo mbona anaingilia yasomhusu?"

Ni hivi, asubuhi hii nilikuwa napitia kitabu kiitwacho ' The Spirit Level'- Kimeandikwa na Richard Wilkinson na Kate Picket. Kwenye sura mojawapo ya kitabu nimeyakuta maelezo ya kitaalamu juu ya makuzi ya watoto yanavyoathiri mahusiano ya kijamii hata ukubwani.

Kumewekwa msisitizo wa mzazi kumnyonyesha mtoto wake hata kwa muda mrefu. Hoja hapa ni kuwa kufanya hivyo mzazi..Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3443-kwenu-wazazi-mtoto-ukimnyonyesha-atajiamini-ukubwani.html#.UcayNpyNCAg

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments