Ndugu zangu,
Mimi naamini, kuwa Mfumo wa Serikali Tatu hautavunja Muungano, yumkini utauimarisha. Kama kweli tuna dhamira ya dhati ya kutoka kwenye tope la kero za Muungano tulilonasa, basi, Serikali Tatu haziepukiki.
Juzi hapa Profesa Issa Shivji, mbali ya mambo mengine yaliyomo kwenye rasimu ya Katiba, ameonyesha wasiwasi wake kuwa Serikali Tatu zitapelekea kuuvunja Muungano.
Naheshimu sana mawazo ya Profesa Shivji, lakini, katika hili la Serikali Tatu nahofia ameanguliza hofu isiyo lazima.
Uhalisia tulio nao sasa ni kuwa ... Soma zaidi..http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3452-kupinga-serikali-tatu-natofautiana-na-profesa-issa-shivji.html#.UcbRaZyNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments