Fashisti Musolini; "Nataka mshinde au mfe!"
Na Maggid Mjengwa,
NITAZIRUKA fainali za kwanza za Kombe la Dunia na kwenda moja kwa moja kuziangalia
fanali za pili za Kombe la Dunia za mwaka 1934.
Enyi wapenzi wa kandanda, ama hakika tunaweza kukumbushana, kwa
kuandika, kuwa fainali za kwanza za Kombe la Dunia zilikuwa ni kama za
majaribio kwa FIFA. Hivyo basi, fanali zilizofuatia za mwaka 1934 nchini
Italia zilikuwa ni fainali za " kweli kweli".
Hali ya kisiasa barani Ulaya wakati huo ilikuwa tete. Ujerumani
ilikuwa chini ya utawala wa fashisti Adolph Hitler, Italia nayo,... Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3513-historia-ya-kombe-la-dunia-iii.html#.UcngYZyNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments