Na Born Again Pagan
Makala haya kwanza yaliandikwa kwenye "Kijiji" chetu (mjengwablog.com) mwezi Mei, 2007, chini ya kichwa cha habari, "BAP Anavyomwelezea Yoweri Museveni". Madhumuni yake yalikidhi ombi la "Mwenyekiti wa Kijiji" kunitaka nitoe maelezo kidogo juu ya wanafunzi wenzangu Darasa la 1970 hapo Mlimani: Yoweri Kaguta Museveni na Hirji.
Nilianza kwa kutoa hoja kwamba haiwezekani kabisa kuweza kusimulia ya Yoweri Kaguta Museveni na Hirji bila kutoa, pengine, "background" ya miaka kumi ya kuanzia 1960 na jinsi matukio hayo yalivyojenga mikitadha iliyozalisha wanafunzi wenye msimamo mkali, kama akina Yoweri Kaguta Museveni na Hirji.... Endelea....
Umajumuhi (Pan-Africanism) ukabaki ni ndoto tu hadi leo kutokana na wa-Koloni kuweka vikwazo kuwa kwa waasisi wetu kuwa na u-haki wa kudai uhuru, iliwabidi kuthibitisha kuwa walikuwa ni wasemaji wa walalahoi. Hii iliuleta mchakato wa kupigania uhuru kwa uwanja wa nyumbani, k-taifa na sio ki-Bara la Afrika.
Nchi nyingi zilianza "kuruka juu na kujulikana", kama majimbi kutoka majivu-moto (popcorns)! Na sisi tukawamo katika..... Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3511-maisha-ya-ujana-ya-jenerali-ulimwengu-issa-shivji-museveni-sitta-na-wengine-ii.html#.UcnPr5yNCAg
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments