[Mabadiliko] Zitto na Chama kipya : Wanabidii

Wednesday, June 26, 2013
Basi kule Wanabidii wanasema ninaanzisha chama kipya cha siasa. Ndio mjadala kule. Siwezi kuwajibu kwa kuwa nimetoka kule kitambo.

Wanasema eti nimeenda Ujerumani kukusanya nguvu kwa ajili ya chama hicho kipya.

Moja, Sina mpango wa kuanzisha chama cha siasa. Mimi ni mwanachama mwanzilishi wa CHADEMA toka nikiwa na umri wa miaka 16. Hiki ndio chama changu na chama cha familia yangu na kijiji chetu cha Mwandiga. 

Pili, nikichoka siasa nitafundisha, kuandika vitabu na kufanya tafiti. Sina muda wa kuanzisha chama kingine cha siasa na kuwachanganya tu Watanzania. Hivi sasa Watanzania hawataki utitiri wa vyama, wanataka mabadiliko. Wanataka huduma bora. Wanataka uwajibikaji wa viongozi wao kwao. 
Tatu, Hata kama ingekuwa ninataka kuungana na Watanzania wengine kuanzisha chama, nisingetegemea kwenda kukusanya nguvu Ujerumani. I hold western countries in contempt siku zote (ofcourse as a former marxist during students life this is expected). 

Mwisho watu waache kunisemea maana mwenyewe nipo naweza kujisema.

NB
Nitawawekea nilikwenda Ujerumani kufanya nini. Oh sorry ipo kwenye blogu yangu www.zittokabwe.com

--
Kabwe Z. Zitto,MP- Kigoma North, Tanzania. Chairman Public Accounts Committee,
Deputy Secretary General CHADEMA and Deputy Leader of the Opposition,
Shadow Minister of Finance
Mobile: +255756809535
Blog: http://www.zittokabwe.com

The gratification of wealth is not found in mere possession or in lavish expenditure, but in its wise application. -Miguel De Cervantes

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments