[wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?

Saturday, March 09, 2013
Ndugu zangu ,

Sehemu nyingi ninazopita hata kuulizia au kuongea mambo ya urais 2015
wengi wanampa kura Lowassa kutokana na historia yake ya nyuma na jinsi
alivyoweza kukabiliana na masuala kadhaa wa kadha mpaka sasa hivi
ninavyoandika .

Kubwa zaidi ni jinsi alivyokubali kuwajibika kama waziri mkuu kwenye
kashfa ya richmond na bila kufikishwa mahakamani mpaka leo .

Sasa naomba kuuliza wenzangu hivi Tanzania inaweza kumbeba lowassa
kweli na mizigo yote hii aliyokuwa nayo ?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments