[wanabidii] Magufuli apeleka bomoabomoa Mwenge-Moroko

Tuesday, December 18, 2012

Magufuli apeleka bomoabomoa Morocco

WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli.

 
Jumatatu,Decemba17  2012  saa 20:59 PM
 
"Wanaostahili kulipwa fidia walipwe na ambao hawastahili waondoke. Suala la kwamba mko kwenye mchakato life na libaki kuwa neno la wanasiasa tu," alisema Magufuli.
 
"Tengenezeni 'flyovers' nyingi nyingi, ni kazi ndogo lakini inashangaza kwa nini Tanroads inakuwa na kigugumizi," alisema Magufuli na kuongeza:
"Wahandisi wa Tanroads fanyeni hivyo, mbona kule Kenya mambo yamefanyika bila tatizo? Acheni kigugumizi na siasa mfanye kazi."

http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1646158/-/item/0/-/13rrcxo/-/index.html

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments