Wapendwa,
Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha kwenye kongamano lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dsm lenye mada kuu isemayo, "Uhuru Wetu na Mustakabali wa Taifa kwa Miaka 50 Ijayo". Kongamano hili litakuwa na vipengele vikuu vitatu vya mijadala, navyo ni;
a) Amani na Utulivu wa Taifa letu kwa miaka 50 ijayo
b) Elimu yetu na maendeleo ya taifa letu kwa miaka 50 ijayo
c) Rasilimali zetu na maendeleo ya kiuchumi ya taifa letu.
Kongamano litafanyika katika ukumbi wa Nkrumah kuanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni. Litarushwa moja kwa moja na ITV.
Asanteni sana na karibuni nyote.
Mr. Faraja Kristomus (Katibu - UDASA)
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135
"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".
0 Comments