
!!!!BIG BANG!!!!
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MADA ITATOLEWA NA JOPO
MADA: Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia
Lini: Jumatano Tarehe 28/11/2012
Muda: Saa 03
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 Comments