[wanabidii] BOSI ALA USO WA MFANYAKAZI WAKE - KIGOMA

Tuesday, November 27, 2012

Kijana aliyetajwa kwa jina moja la Susuruka amejeruhiwa kwa kuliwa nyama za sehemu ya uso wake na mwajiri wake aliyekuwa akimfanyia kazi ya kuchunga ng'ombe katika kijiji cha Muhange wilayani Kakonko mkoani Kigoma. Nyama za uso, Mashavu, Kope, Midomo na Pua nzima vimeliwa!.  
 
Mwenyekiti wa Kijiji hicho Bw Saimon Anthony amesema kuwa tukio hilo limetokea jana usiku ambapo aliyefanya unyama huo ni Bw Imani Paulo .
 
Amesema kabla ya kumla nyama za usoni mfanyakazi wake, Bw Paulo alimuua mbwa wake na kisha kula ulimi wa mbwa huyo.

Jeshi la polisi wilayani Kakonko limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mtuhumiwa huyo amekamatwa ambapo baada ya kuhojiwa amesema hajui chochote kuhusu matukio hayo.

Taarifa zinasema kuwa majeruhi huyo amepelekwa katika hospitali ya wilaya ya Kibondo kwa ajili ya matibabu.
Jeshi la polisi wilayani Kakonko limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mtuhumiwa huyo amekamatwa ambapo baada ya kuhojiwa amesema hajui chochote kuhusu matukio hayo.

Taarifa zinasema kuwa majeruhi huyo amepelekwa katika hospitali ya wilaya ya Kibondo kwa ajili ya matibabu.
 
 
NB: tazama picha ya kijana huyo katika attachment macho yake yakiwa yanaonekana kwa mbali ingawa si rahisi kujua mara moja kama hapo amelala au yupo macho maana kope zake pia zimeliwa. 
 
 

--
"No matter how far down the wrong road you've gone, TURN BACK."

"I would like to live as POOR MAN with lots of MONEY"

"By the the time a MAN is wise enough to watch his step, he is too old to go anywhere"

"TODAY IS TOMORROW YOU WORRIED ABOUT YESTERDAY"




MGONGO EMMANUELEY P. 
P.O.BOX 3746
DAR  ES SALAAM
MOBILE:0784-740487
             0715-388883
             0755-388883
             
emmanueley@iwayafrica.com
emmanueley@in.com
emmanueley@ecommtz.com
chandling@ecommtz.com
sales@ecommtz.com
WEB: www.ecommtz.com

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

Share this :

Related Posts

0 Comments