[wanabidii] GAZETI JAMHURI WAMFUNGA PAKA KENGELE

Tuesday, November 27, 2012
Nimekuwa nikisema mara nyingi kuwa pamoja na matatizo yasiyoponywa ya CCM lakini kiongozi mkuu wa chama hiki. Ni kikwazo kikubwa kwa juhudi za chama kujisafisha na kwa unafiki na kujipendekeza kwa wana ccm wanalalama sirini lakini hakuna anayesema kwenye vikao rasmi.na wengine watetea dhaifu hata humu mitandaoni.sasa nasubiria wana ccm mbishe kuwa JK ndo mungu wa makundi ccm.toleo la jamhuri leo linamtaja kikwete kuwa ndo kikwazo nami naliunnga mkono.je si kweli kuwa jk ndivyo alivyo?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Share this :

Related Posts

0 Comments