[wanabidii] RASIMU YA KATIBA/HII SIJAIONA TUIONGEZEE

Wednesday, March 26, 2014
Mtanzania yeyote  aruhusiwe kugombea  uongozi wowote  lakini  kwa wakati  huo asiwe  na  undugu  na  kiongozi  yeyote wa  juuu jkatika   nafasi anayoigombea.
ukiwa  wewe ni ndugu yake na RC , waziri, mbunge  au  rais  lazima  utapata  nafasi  unayoigombania

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments