[Mabadiliko] WANAOPINGA VITA DHIDI YA MABEBERU NI KWA MASLAHI YA NANI

Wednesday, June 14, 2017
Wanabidii 
Hatua ya hivi majuzi ya Rais kuchunguza wizi wa barrick na baadaye ACCACIA ni hatua kubwa na ya kupongezwa.
Tukumbuke serikali hii ya sasa ni mpya ikiwa na watendaji wengi wapya ambao hawakuwemo katika serikali zilizopita , na ambazo ndizo ziliingia mikataba hii isiyo na maslahi kwa taifa.
Hatua hii ya sasa imeonyesha udhubutu kwa kiwango cha juu na hata kuwataja wahusika kwa majina na wengi wao wakiwa ni chama tawala. 
Naamini huu ni mwanzo na vita hii ikiendelea itagusa wengi zaidi.
Inashangaza sana wanapotokea watu wengine kwa kujiita wazalendo na wanamabadiliko wakipinga hatua hizi kwavisingizio kwamba kuna wahusika hawajatajwa
Hivi ukienda kumkamata mwizi unamuacha mpaka aje aliye mtuma ili uwakamate pamoja? Na je kama hakutumwa na mtu ameiba kwa utashi wake haumkamati?

Hebu tuwe wazalendo. Tujifunze kutanguliza taifa kwanza .

We must learn to live together as brothers or perish together as fools." Martin Luther King, Jr.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at https://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CANaJ3zrX%2BJVvCqREaWPpBdpsSM4%3DdYQhHRSv%3D7jtj4cudAShSQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments