[caption id="attachment_78199" align="alignnone" width="653"]<img class="size-full wp-image-78199" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3294.jpg" alt="" width="653" height="600" /> Mkurugenzi Matendaji wa HakiElimu, John Kalage akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_78203" align="alignnone" width="786"]<img class="size-full wp-image-78203" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3341.jpg" alt="" width="786" height="600" /> Mwenyekiti wa Bodi ya HakiElimu, Profesa Martha Qorro akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_78198" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78198" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3286.jpg" alt="" width="800" height="436" /> Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jovita Katabaro (kushoto) akizungumza katika mjadala mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Kulia ni Dk. Bashiru Ally ambaye pia ni Mhadhiri wa UDSM.[/caption]
[caption id="attachment_78193" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78193" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3228.jpg" alt="" width="800" height="572" /> Profesa Kalafunja Osaki akizungumza katika mjadala mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_78194" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78194" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3252.jpg" alt="" width="800" height="532" /> Mmoja wa wadau wa elimu akishiriki mjadala wa wazi mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_78195" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78195" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3256.jpg" alt="" width="800" height="485" /> Wadau mbalimbali wa HakiElimu wakiwa katika uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_78196" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78196" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3262.jpg" alt="" width="800" height="524" /> Mmoja wa wadau wa elimu akishiriki mjadala wa wazi mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_78197" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78197" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3276.jpg" alt="" width="800" height="527" /> Mmoja wa wadau wa elimu na mwanahabari nguli, Jenerali Ulimwengu akishiriki mjadala wa wazi mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_78200" align="alignnone" width="682"]<img class="size-full wp-image-78200" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3321.jpg" alt="" width="682" height="600" /> MC na muongozaji mjadala toka HakiElimu akifafanua jambo katika uzinduzi wa ripoti hiyo.[/caption]
[caption id="attachment_78201" align="alignnone" width="675"]<img class="size-full wp-image-78201" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3323.jpg" alt="" width="675" height="600" /> Kiongozi wa timu ya watafiti, Dk. Richard Shukia akijibu baadhi ya hoja toka kwa wadau waliohudhuria uzinduzi wa utafiti wa HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania.[/caption]
[caption id="attachment_78202" align="alignnone" width="795"]<img class="size-full wp-image-78202" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3333.jpg" alt="" width="795" height="600" /> Mkurugenzi Matendaji wa HakiElimu, John Kalage akizungumza kwenye uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam.[/caption]
[caption id="attachment_78204" align="alignnone" width="800"]<img class="size-full wp-image-78204" src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/04/IMG_3358.jpg" alt="" width="800" height="533" /> Wadau mbalimbali wa HakiElimu wakiwa katika uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania.[/caption]
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments