Jingine ninalotaka kusema ni kumbukumbu za wawakilishi wetu. Jana 4 April 2017 Bunge la Jamhuri ya Muungano lilianza. Ni kikao kirefu kuliko vyote kwa mwaka. Ni kikao cha kuijadili bajeti ya serikali. Kazi ya Bunge ni kuisikiliza na kuishauri serikali. Tutajadili mengi kulisaidia bunge letu ili nalo liisaidie serikali. Lakini moja kati ya matukio jana, ilikuwa ni Rais wa awamu ya nne kuingia Bungeni. Wabunge wote walimshangilia sana mpaka spika akasema hakumbuki mgeni kushangiliwa vile bungeni. Nami nikimuona rais mstaafu yeyote nitamshangilia. Kuliongoza taifa kwa myaka yote hiyo si jambo dogo.
Nilishtuka kusikia sababu za kumshangilia Rais Mstaafu JK. Mmoja wa wabunge wa upinzani anasema alimshangilia kwa sababu rais huyo aliruhusu mikutano ya hadhara na maandamano. Nikazipima kumbukumbu za mwakilishi huyo. Kama sikumsikia yeye nilimsikia mwenzake. Wakati David Mwangozi anauwawa ilikuwa ni Aerikali ya awamu ya nne kudhibiti mkutano tena wa ndani basi. Nikakumbuka picha za mke wa Dr. Slaa akivuja damu. Kisa. Ilikuwa ni serikali ya awamu ya nne ikidhibiti mkutano wa hadhara. Nikakumbuka mkutano uliokuwa umehalalishwa wa Profesa Lipumba. Jinsi serikali ya JK ilivyousambaratisha na kumuweka lupango Profesa Lipumba, Nikakumbuka matukio mengine ya namna hiyo ambayo naomba niyasahau. Nikajiuliza hizi kumbukumbu za wawakilishi hawa zikoje?
Lakini katika Bunge hilihili jana nimeona kituko kingine. Mbunge wa upande huu anapoongea, vipaza saiti vanaongea bila shida. Lakini akiongea wa upande mwingine vipaza sauti vinazima na kuwaka. Nikasikia wengine wakiwashutumu wengine kwa kuwasha na kuzima vipaza sauti. Nikamsikia na kumuona Spika akiongea kwa uchugu kuwakemea wawakilishi wa watanzania, wanaocheza mchezo wa kinanihii. Nikaanza kujiuliza ni busara gani itakayotumika kuikosoa srikali ili iwatumikie wananchi vizuri. Haitarajiwi mtu anayecheza huo mchezo bungeni aje atoe hoja ya kusikilizwa katika mijadala ya bajeti ya serikali. Nikajiuliza kama kuna ubongo mwingine utaletwa ili utumike wakati wa mijadala watapewa hawa wanaocheza mchezo huu? Nikaelewa maana ya kuficha mijadala ya Bunge isiwe Mubashara. Nikakumbuka alivyowahi kusema kiongozi wa bunge kuwa wawakilishi wetu wangepimwa kuona kiwango cha kilevi vichwani wakati muhimu kama huu. Nikamkumbuka Yule aliyekuwa anapita barabarani na baranbara inanyanyuka na kumuumiza mpaka akavuja damu usoni. Ninashauri kama wakijulikana wasiulizwe mubashara. Wanaweza kusema "sio mimi. Ni mikono yangu ilikuwa inajinyanyua na kutingisha swich za vipaza sauti". Ikiwa mubashara watu wanaofuatilia bunge letu kutoka nje ya nchi wanaweza kutucheka. Wacha iwe aibu yetu ya ndani.
Elisa Muhingo
0767 187 507
elisamuhingo@yahoo.com
--
Send Emails to
wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+...@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum
bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and
facts must be
presented
responsibly.
Your
continued
membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and
pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received
this
message because you
are subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to
wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum
bears the sole
responsibility
for any legal
consequences
of his or her postings,
and
hence
statements and facts
must be presented
responsibly. Your
continued
membership
signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge
to abide by our Rules
and
Guidelines.
---
You received this
message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from
this group and stop
receiving emails
from it, send an
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her
postings,
and
hence
statements and facts must
be presented
responsibly.
Your
continued membership
signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message
because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this
group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments