[wanabidii] ALMAARUFU BI.SITU MWASA WA ILALA AFARIKI DUNIA 7-MACHI-2017

Wednesday, March 08, 2017







TANZIA ! MSIBA
  Almaarufu Bi.SITU Mwasa Amefariki dunia siku ya Jumanne 7 Mchi 2017

 

 Mwana Ilala na  Dar-Es-Salaama mashuuri,maarufu Bi.SITU MWASA amefariki dunia siku ya jumanne 7 Machi 2017, marehemu Bi.Sita Mwasa
Kipenzi na mtu wa watu aliyekuwa msatari wa mbele kila wakati katika shughuli za kijamii hapa jijini Dar-es-salaam atakumbukwa kwa mchango na moyo wake mkubwa katika jamii hapa ILALA na jiji zima la Dar-Es-Salaam,ameshika nyazifa mbali katika jamii pia akiwa kada mashuuri wa chama tawala CCM.mara ya mwisho marehem Bi.Situ Mwasa aliandika katika www.facebook.com/situ.allymwasa kuwa anaumwa majeraa kutoka na ajali ya kupinduka na gari,lakini hatujui nini kilichosababisha kifo chake,
Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi.
Innah Lillah wa Innah Lillah Rajiun


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments