Hili jambo linahitaji kuliangalia kwa makini.
1) Kuna hoja kuwa kama ndivyo kwa nini na NEC isifute wa jamhuri. Sababu ni kuwa ZEC ndiyo iliyosimamia uchaguzi wa Jamhuri kwa niaba ya NEC. NEC inasema haikuona tatizo kwemye kura zinazohuzu NEC yaani kura za Rais wa jamhuri na za wabunge.
Mimi nafikiri kingine cha kuangalia ni: kama kura za Zanzibar zingepigwa zote, na kura hizo zikawa upande mmoja Je zingeweza kubadili matokeo ya uchaguzi wa kura za rais? kama jibu ni ndiyo basi NEC ifikilie upya jibu lake. Kama ni hapana bai kwa kuzingatia garama za uchaguzi heri kuuchukulia uchaguzi majimboni kama jambo individual case.
2) Kuna dalili kubw kuwa sababu ya kutangaza kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar ni kura za Mgombea wa CCM kuwa nyuma ya mgombea wa CUF. Kuna athari kubwa kama huundio ukweli:
a) CCM inapoteza nafasi muhimu ya kuliongoza taifa hili katika ngazi ya jamhuri huku Zanzibar ikiwa inaongozwa na Chama tofauti. Ni jambo kubwa sana linalohitaji umakini na uzoefu. Likija kutokea wakati vyama vyote ni vipya taifa hili lawza kuwa na mgogoro utakaokosa ufumbuzi.
b) Huu ukiwa ukweli basi Hakuna mwenye mamlaka ya kupotosha maamuzi ya wananchi. Ni kweli kuwa kuna wanaoamini kuwa Maalim Sefu amekuwa akishinda na ananyang'anywa ushindi. Tunakumbuka yaliyotokea 2001. Hatuhitaji hilo.
nafikiri uamuzi wa ZEC unaweza kubadilishwa na uchaguzi ukatangazwa kama wazanzibari walivyoamua. kama kuna tofauti ya kura jimbo fulani basi twaweza kuamua jimbo hilo likarudia uchaguzi kwa usomamizi makini. Iko wzi kuwa sababu zilizotajwa na mwenyekiti wa tume zilitendeka wakati kura zinaendelea kupigwa. Waliotwangana masumbwi walifanya hivyo wakati wa kupiga kura. Ilikuwaje Tume inaamua katikati ya kutangaza kura na wakati takwimu zinampa ushindi mgombea wa upinzani??? BUSARA ITUMIKE
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments