[wanabidii] Mgao mkali wa umeme... kuna nini?

Sunday, October 04, 2015

Ni juzi tu tumetangaziwa kuwa tutasahau habari za mgao wa umeme. Lakini cha kushangaza sasa hivi tupo kwenye mgao mkali sana wa umeme na hakuna taarifa rasmi toka kwa wenye dhamana wa sekta hii nyeti. Ni mgao wa zaidi ya masaa 16. 

Wakati viongozi wenye dhamana wako busy kunadi majigambo majukwani giza linawasuta na kudhihirisha kushindwa kwao. Kukosekana kwa umeme kunaathiri kila sekta maalumu na isiyo maalumu. Lakini ajabu kwanini kukosekana huku kunaonekana ni maisha ya kawaida ya mtanzania?

Anayeweza kutufikishia kilio chetu kwa waziri wa nishati tafadhali afanye hivyo.

Jumapili njema

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments