[wanabidii] Mbwa Mlinzi No.1 Sajint-Kopro Dog domo Baya amfukuzia wa wageni Boss Kamanda Ras Makunja

Sunday, September 27, 2015

Kimenuka !

MLINZI No.1 KOPRO DOG DOMO BAYA WA RAS MAKUNJA AMFUKUZIA WAGENI BOSS !

Dog Domo Baya kachoka lawama  ! Katimuwa wageni wa kamanda Ras Makunja....Kamanda kanuna !


Kuishi kwingi kuona mengi ! katika hali ya utata juzi kati wageni waliokwenda kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa mwanamuziki mahili na kiongozi wa Ngoma Africa band kamanda Ras Makunja kule ujerumani wageni walijikuta wakitimuliwa mbio na mlinzi namba one Kopro Dog Domo Baya wa Kamanda Ras Makunja,mbwa huyo aliyechoka lawama za boss wake kuwa amekuwa mzembe kazini , siku ya jumamosi 19 Septemba 2015 majira ya saa 2.00 usiku aliamua kupiga doria ndani ya makao ya himaya Kamanda Ras Makunja, na kila mgeni aliyegusa au kukaribia geti alibwakiwa na kutemewa kibesi na mbwa huyo. Timbwili hilo lilichukua muda masaa mawili bila kibosile kamanda Ras Makunja kujua kinachoendelea nje ya nyumba,kwani alikuwa ndani na familia yake.ndipo mmoja wa watu wake wa karibu alipomtumia ujumbe wa simu asitegemee wageni mbwa kachomoka ndani ya banda na akupiga doria ! baadhi ya marafiki wanamlalamikia Dog Domo baya kuwa anachagua watu wa kuwatimua... mbwa huyo anawajua wanamuziki wa Ngoma Africa band aka FFU..lakini wa wageni wengine yeye ni kazi moja tuu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments