Wahitimu Shule ya Msingi Muhimbili Waisaidia Shule Yao
[caption id="attachment_60270" align="aligncenter" width="600"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0145.jpg" alt="Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza." width="600" height="646" class="size-full wp-image-60270" /> Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza.[/caption][caption id="attachment_60273" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0178.jpg" alt="Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akionesha sehemu ya msaada wa viti na meza na ofisi iliyokarabatiwa na umoja wao." width="800" height="513" class="size-full wp-image-60273" /> Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akionesha sehemu ya msaada wa viti na meza na ofisi iliyokarabatiwa na umoja wao.[/caption][caption id="attachment_60262" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0025.jpg" alt="Mkuu wa Shule ya Msingi Muhimbili wa sasa, Dafrossa Asenga (katikati) akizungumza kuwakaribisha wageni katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa viti na meza vilivyotolewa na wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988." width="800" height="490" class="size-full wp-image-60262" /> Mkuu wa Shule ya Msingi Muhimbili wa sasa, Dafrossa Asenga (katikati) akizungumza kuwakaribisha wageni katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa viti na meza vilivyotolewa na wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988.[/caption]
[caption id="attachment_60263" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0037.jpg" alt="Mwenyekiti Msaidizi wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, akitoa machache katika hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa viti na meza na ofisi iliyokarabatiwa na umoja wao." width="800" height="587" class="size-full wp-image-60263" /> Mwenyekiti Msaidizi wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, akitoa machache katika hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa viti na meza na ofisi iliyokarabatiwa na umoja wao.[/caption]
[caption id="attachment_60264" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0042.jpg" alt="Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Muhimbili kwa sasa wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika shuleni hapo." width="800" height="533" class="size-full wp-image-60264" /> Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Muhimbili kwa sasa wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika shuleni hapo.[/caption]
[caption id="attachment_60265" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0049.jpg" alt="Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Muhimbili kwa sasa wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika shuleni hapo." width="800" height="533" class="size-full wp-image-60265" /> Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Muhimbili kwa sasa wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika shuleni hapo.[/caption]
[caption id="attachment_60266" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0059.jpg" alt="Baadhi ya walimu wastaafu waliowafundisha wanafunzi hao wakijitambulisha katika hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa viti na meza walizotoa kwa shule yao kama shukrani yao." width="800" height="523" class="size-full wp-image-60266" /> Baadhi ya walimu wastaafu waliowafundisha wanafunzi hao wakijitambulisha katika hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa viti na meza walizotoa kwa shule yao kama shukrani yao.[/caption]
[caption id="attachment_60267" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0063.jpg" alt="Baadhi ya wanafunzi waliohitimu darasa la saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Muhimbili pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kukabidhi msaada wa viti na meza walizotoa kwa shule yao kama shukrani yao." width="800" height="484" class="size-full wp-image-60267" /> Baadhi ya wanafunzi waliohitimu darasa la saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Muhimbili pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kukabidhi msaada wa viti na meza walizotoa kwa shule yao kama shukrani yao.[/caption]
[caption id="attachment_60268" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0091.jpg" alt="Baadhi ya walimu wastaafu waliowafundisha wanafunzi hao wakijitambulisha katika hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa viti na meza walizotoa kwa shule yao kama shukrani yao." width="800" height="471" class="size-full wp-image-60268" /> Baadhi ya walimu wastaafu waliowafundisha wanafunzi hao wakijitambulisha katika hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa viti na meza walizotoa kwa shule yao kama shukrani yao.[/caption]
[caption id="attachment_60269" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0101.jpg" alt="Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza." width="800" height="479" class="size-full wp-image-60269" /> Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza.[/caption]
[caption id="attachment_60272" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0157.jpg" alt="Ernest Nyambo ambaye ni Mweka Hazina wa Umoja wa waliohitimu wa darasa la saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Muhimbili akizungumza katika hafla hiyo." width="800" height="552" class="size-full wp-image-60272" /> Ernest Nyambo ambaye ni Mweka Hazina wa Umoja wa waliohitimu wa darasa la saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Muhimbili akizungumza katika hafla hiyo.[/caption]
[caption id="attachment_60274" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0193.jpg" alt="Sehemu ya msaada huo wa viti vya kisasa 30, meza nane (9) vilivyokabidhiwa kama msaada shuleni hapo." width="800" height="533" class="size-full wp-image-60274" /> Sehemu ya msaada huo wa viti vya kisasa 30, meza nane (9) vilivyokabidhiwa kama msaada shuleni hapo.[/caption]
[caption id="attachment_60275" align="aligncenter" width="688"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0194.jpg" alt="Sehemu ya msaada huo wa viti vya kisasa 30, meza nane (9) vilivyokabidhiwa kama msaada shuleni hapo." width="688" height="600" class="size-full wp-image-60275" /> Sehemu ya msaada huo wa viti vya kisasa 30, meza nane (9) vilivyokabidhiwa kama msaada shuleni hapo.[/caption]
[caption id="attachment_60276" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0209.jpg" alt="Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Balozi Kassim Mwawado akizungumza katika hafla ya kukabidhi msaada wa viti na meza vilivyotolewa na wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988." width="800" height="581" class="size-full wp-image-60276" /> Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Balozi Kassim Mwawado akizungumza katika hafla ya kukabidhi msaada wa viti na meza vilivyotolewa na wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988.[/caption]
[caption id="attachment_60277" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0222.jpg" alt="Wanafunzi wa Shule ya Msingi Muhimbili ya sasa wakitoa burudani katika hafla hiyo." width="800" height="533" class="size-full wp-image-60277" /> Wanafunzi wa Shule ya Msingi Muhimbili ya sasa wakitoa burudani katika hafla hiyo.[/caption]
[caption id="attachment_60278" align="aligncenter" width="800"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0225.jpg" alt="Baadhi ya wanafunzi waliohitimu darasa la saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Muhimbili pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kukabidhi msaada wa viti na meza walizotoa kwa shule yao kama shukrani yao." width="800" height="533" class="size-full wp-image-60278" /> Baadhi ya wanafunzi waliohitimu darasa la saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Muhimbili pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kukabidhi msaada wa viti na meza walizotoa kwa shule yao kama shukrani yao.[/caption]
<strong>Na Mwandishi Wetu</strong>
<strong>WANAFUNZI</strong> waliohitimu darasa la saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Muhimbili wametoa msaada wa viti vya kisasa 30, meza nane (9) na kufanya ukarabati ofisi ya walimu na ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo ambapo gharama za msaada huo kwa pamoja umefikia kiasi cha shilingi milioni 17.
Wakikabidhi msaada huo shuleni hapo leo jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa umoja huo wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama alisema wanafunzi hao wapatao 80 waliamua kuchangishana fedha na kuamua kuisaidia shule yao ya zamani ikiwa ni kama shukrani kwa walimu na shule iliyowapa elimu ya msingi.
Alisema katika msaada huo kuna viti 29 na meza nane ambazo zimetengnezwa kisasa kwa ajili ya ofisi ya walimu 'staff room', kiti na meza ya kisasa ya ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo, pamoja na kufanya ukarabati wa ofisi ya walimu ikiwemo kupaka rangi, kukarabati dirisha na kufunga feni ili ifanane na thamani zilizowekwa.
Bi. Ledama alisema wanafunzi hao ambao wameanzisha umoja huo kupitia mtandao wa jamii (whatsapp)baada ya kukutana ndani ya miezi mitatu walikubaliana kufanya jambo moja la kuisaidia chochote shule yao ikiwa ni ishara ya shukrani ndipo walipofanya mawasiliano na kujua shule hiyo ilikuwa na uhaba wa viti pamoja na meza za walimu hivyo kuchangishana hadi kupata msaada huo.
"...Baada ya mjadala katika kundi letu la whatsapp kukubuka na kukumbushana maisha yetu ya shule ya msingi kukolea ndipo tukapata wazo kutoa msaada kwa shule yetu ya msingi kama alama ya shukrani yetu kwa malezi na elimu tuliopata hapa iliyoweza kutufikisha hapa leo, tarehe 7 mwezi Aprili mwaka huu (2015) sie tuliopo Dar es Salaam tukakutana kwa mara ya kwanza na kujadiliana namna ya kusaidia shule yetu," alisema Bi. Ledama.
Kwa upande wake Mgeni Rasmi wa hafla hiyo, Balozi Kassim Mwawado aliwapongeza wanafunzi hao kwa kitendo cha kuguswa na kuamua kuikumbuka shule waliosoma na kuwaomba waendelee na moyo huo wa ushirikiano kwa masuala mbalimbali ili kujenga mshikamano zaidi baina yao.
Aidha aliushauri uongozi wa shule kuwa na eneo maalum la kuweka kumbukumbu kwa wanafunzi waliosoma shuleni hapo na kufanikiwa pamoja na matukio muhimu ambayo yatawajengea mwongozo mzuri wanafunzi na morali ya kufanya vizuri zaaidi katika masomo yao.
Naye Mkuu wa Shule ya Msingi Muhimbili wa sasa, Dafrossa Asenga akipokea msaada huo aliwashukuru wanafunzi waliojitolea na kuwataka wauendeleze umoja wao huo ili uweze kudumu na kushirikiana na kusaidiana kwa masuala mbalimbali ya msingi.
Hafla hiyo ya tukio la kukabidhi msaada huo pia iliwakutanisha baadhi ya walimu waliowafundisha wanafunzi hao mwaka 1988, baadhi ya wanafunzi waliohitimu darasa la saba mwaka 1988, viongozi wa bodi ya shule, pamoja na wanafunzi na walimu wa sasa wa shule ya Msingi Muhimbili.
*Imeandaliwa na www.thehabari.com
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments