Mbowe ulikosea sana kwa kudhani Sharif Hamad ndio kila kitu, Bila Liipumba Tanzania bara hamna Cuf
ukizungumzia Cuf Tanzania bara huwezi kuacha kumtaja prof. Lipumba, bila Lipumba hakuna Cuf Tanzania bara, mipaka ya Sharif Hamad ni kule kule kisiwani na sio huku Tanzania Bara.tukutane october
Chadema na Mbowe mlikose sana kumrubuni Sharif Hamad kwa kuona Lipumba si chochote si lolote, tamaa yenu, na uzandiki leo mmeisambaratisha Ukawa.
Namuonea huruma Lowasa bora angetuli ccm lakini amekwenda kuusambaratisha upinzani uliokuwa imara na wenye nguvu, Lowasa huoni aibu unakaribishwa ndani ya nyumba halafu wenye nyumba wanagombana uliona wapi mpangaji akawa na nguvu kuliko mwenye nyumba.
Nampongeza Lipumba kwa uamuzi mgumu wa kukataa kubakwa kwa demokrasia Nchini Kwetu
Lowasa umekosea sana na utajuta maishani mwako watanzania hatutakusamehe kwa kuua upinzani na Ukawa yetu, nakuhakikishia october si mbali utajua na kujua kuwa pesa si kila kitu na Dunia hadaa na ulimwengu Shujaa
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments