[wanabidii] Kumbukumbu: Kauli walizowahi kutoa Viongozi wa UKAWA kuhusu Lowassa

Friday, August 14, 2015
Kumbukumbu: Kauli walizowahi kutoa Viongozi wa UKAWA kuhusu Lowassa
    Atakayemuunga mkono Lowasa apimwe akili - Msigwa
    CCM wamempa fomu kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jela, wametudharau watanzania - Lipumba.
    Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani - Mbowe
    NI heshima KWA Mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa - G.Lema
    Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) - Slaa
    Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika
    HAO NDIYO VIONGOZI WETU!

Share this :

Related Posts

0 Comments