Na Babeli
Naleta masikitiko yangu makubwa baada ya tukio la leo la huyu fisadi kukaribishwa ukawa.
Bado siamini macho yangu ni hawa hawa viongozi wa ukawa ambao kwa miaka yote wamekuwa wakitupigia kelele majukwaani kupinga maufisadi yote yanayoendelea Leo hii yote hayo wameyaweka matakoni.-Loooh! Kweli pesa ni mwanaharamu kwa sababu haiwezi kuwa bure bure tu.
Maneno yanayosemwa kuwa bw. Mbowe na group lake wamekula mlungula naweza sasa kuyaamini. Lakini sitaki kuamini kwamba hata Dr Slaa naye kaingizwa kingi.
Mama yangu weeeee. Nilikuwa pia walau nina imani na Prof Lipumba lakini leo nimekudharau kupindukia. Kweli unasema mzee siyo eti wanamsingizia ?????? Eti miaka mingi ishapita toka mwaka 2008.
Nawewe dr Slaa list of shame yako umeiweka sandukuni au umeichoma moto ???Basi sasa natangaza kuwa chadema ni CCM B na sio kama tulivyokua tunaaminishwa na viongozi wa chadema kuhusu CUF na ACT. Kumbe chadema ndio wanaowaongoza.
Sitaki kuamini lakini ndio ukweli sasa hakuna namna. What next sasa adhabu kubwa tunayokwenda kuwapa ukawa sasa mtajuta maisha yenu yote. Ikulu mtaionaga ndotoni na sio vinginevyo.
source jf
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments