Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary, imetoa Tamko maalum kulaani kitendo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar ES Salaam,Ramadhani Madabida, Kumfananisha Mtume Muhammad (S.A.W) na Ndugu Edward Lowassa.
-Aliyasema hayo wakati Edward Lowassa alipokuwa kwenye viwanja vya CCM, Mkoani Dar kutafuta wadhamini.
Zaidi, Soma => http://goo.gl/Y5Xh0s
0 Comments