[wanabidii] Swali la Kichokozi: Je, Harambee makanisani na misikitini zimefika ukingoni au zitaendelea?

Sunday, July 12, 2015

ccm wameshamtanga magufuli ndiye mgombea wao watakayemshindanisha na ukawa na wengineo, lile ombwe la takribani miaka 3 sasa limefikia tamati, swali langu ni hili.


Kwa muda mrefu, mgombea mmoja ambaye jina lake halikufika hata kwenye tano bora amekuwa akifanya harambee makanisani na misikitini na kutoa michango mikubwa mikubwa. Amekuwa akitoa michango hiyo huku akidai kuwa anachangiwa na marafiki zake.

Swali langu ni je, mtanzania huyu na marafiki zake wenye moyo wa kuchangia katika nyumba za ibada wataendelea na moyo huo huo au ndo mission imeisha?

 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments