[wanabidii] chadema na harakati za kuua vipaji vya vijana

Tuesday, July 21, 2015
Walianza kumfanyia Zengwe David Kafulila,wakamfanyia vitisho,mpaka akahama chama,NCCR wakampa fursa leo kawa lulu hadi chadema wenyewe wanamshangilia kutokana na umahiri wake.

Wakafanya hivyo kwa Moses Machali ,akahamia NCCR sasa nyota yake kisiasa inang'aa.

Wakahamia kwa Mwampamba,Mchange,Shonza,na hatimae Zitto Kabwe.

Leo wamemmalizia Kijana Ben saa nane.

Pamoja na jitihada za Ben Saa nane kutunga uongo dhidi ya wenzake ili aaminike chadema,lkn alipotaka kugombea Uenyekiti wa BAVICHA walimfanyia zengwe.

akagombea Ujumbe wa Halmashauri kuu nako akaenguliwa.


Akaenda kugombea ubunge Nyumbani kwao nako kapigwa chembe ya kidevu.

Huu ni wakati kwa Saanane kutafuta fursa ndani ya vyama vingine kama walivyofanya aki na Kafulila,Machali na Mchange

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments