Watanzania wamechoshwa na ufisadi. Hii ni agenda kuu ya kila mtu mwenye akili. Kwa hiyo chamachochote ambacho kinaimba wimbo huu kiko katika mazingira bora ya Kushinda. Iweje mtu aliyewahi kutuhumiwa ufisadi awe ndiye anaonekana kuwa mkombozi? kama kila mtanzania angekuwa fisadi basi asingekuwepo wa kulalamikia ufisadi. lakini kama mazingira yangekuwa hayo basi tungesema tumtafute fisadi kidogo. lakini tungekuwa tunatafuta nini maana wote tunaabudu dini hiyo ya ufisadi.
Lakini Tanzania inao watu safi, safi machoni pa wananchi kwa maana kama kuna kilichojificha basi hatukijui. CCM imemteua magufuli kugombea urais. Mimi nadhani magufuli kama magufuli anao uwezo wa kuchaguliwa na watanzania kwa asilimia 80 kuwa rais. Kutokana na kuwa ndani ya CCM basi uwezekano wa magufuli kushindwa kuupata urais ni mkubwa au uwezekano wa kupata 53% na sababu kubwa ya kupungua kura zake ni kwa sababu ya taasisi anayoitumia (CCM).
Sasa iweje mtu aseme tanzania inahitaji fisadi ili kuondokana na ufisadi. Uwezo wetu wa kufikiri umepungua sana
Mweeee! Mbombo ngafu
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments