TAFSIRI ya Kiswahili sanifu ya 'ukahaba' au 'malaya' inaelezwa kwamba ni tendo la kufanya ngono nje ya ndoa au uhusiano unaokubalika katika jamii, tena na watu mbalimbali na kwa malipo. Sifa ya umalaya au ukahaba imekuwa ikinasibishwa zaidi na wanawake hasa kwa vile wanaume wamekuwa wakidai kuwa wao ni wa wake wengi kwa asili.
Kwa bahati mbaya katika miaka ya karibuni maana ya maneno hayo imetoka katika asili kutokana na ama kupanuka kwa lugha ya Kiswahili au jamii kuzalisha maneno mengine mapya, ndiyo maana hata mwanasiasa ambaye hatulii na chama kimoja, mwenye kubadili vyama kama 'nguo za ndani', amekuwa akiitwa 'malaya'.
Neno 'malaya' ndilo kuntu linaloweza kuelezea tabia za....
http://www.brotherdanny.com/2015/07/na-wapo-malaya-wa-kisiasa-tujihadhari.html

--
DANIEL MBEGA
INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER & PUBLISHER
CELL: +255 767 939 319/ +255 715 070 109
WHAT'S APP: +255 656 331 974
BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com
www.brotherdanny5.blogspot.comINVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER & PUBLISHER
CELL: +255 767 939 319/ +255 715 070 109
WHAT'S APP: +255 656 331 974
BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com
"Kama hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?" ~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, 1995
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAE93EM9OjsrkD_qgQv9__PAUpYy4OFymhME6VMzQnB4D0d3XAQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments