[wanabidii] Nape na Muswaada wa Uhuru wa Kupata Habari.

Thursday, June 25, 2015
Kwa ufahamu wangu,any Government Bill inayotaka kupelekwa Bungeni kwa ajili ya Kujadiliwa na kupitishwa au kutopitishwa,lazima upitie kwenye Ministers Cabinet ambao Chairman ni President,kama nitakuwa nimekosea mtanisahihisha.Jana nilimsikia Ndugu yangu Mwenezi Nape Nnuye akiwa Misungwi akisema anaomba Serikali isikilize" Kelele" za Wadau wa Habari juu na Muswaada wa kupata Habari usipelekwe Bungeni ili kusikilizwa mara ya Pili kwa hati ya dharula.Nikajiuliza,kwani Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nani,siye President wa Nchi,je alikuwa hajui huu Muswaada mpaka unataka kufika Bungeni mara ya Pili?.Kama anajua,Nape na Katibu wake Mkuu walikuwa hawana Taarifa nao?.Ebu nisaidieni Wanazengo kunielewesha.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments