KUJIUZURU NAFASI YANGU NA KUJIVUA UWANACHAMA. WA CHAMA CHA (CHADEMA)
Kujiuzuru uwanachama Wa Chama cha Demokrasia Na maendeleo (Chadema)
Napenda kuutarifu (Uma) kuwa nimetafakari kwa kina juu ya Tofauti Wa msimamo na utendaji kati yangu na Mwenyekiti Mkoa na wilaya Ya HANDENI Mkoa Tanga. kuona kuwa siwezi Endelea kufanya nao kazi kwa sababu Mbalimbali hali hii inatokana na tofauti zetu kimtazamo. juu ya uendeshaji Wa Chama
Chama sio mali ya Mwenyekiti na familia yake Chama ni Mali ya wanachama wote kwa Pamoja Itakumbukwa kuwa tangu Mwaka 2010 Mwenyekiti wa Chama Taifa pamoja na Wajumbe Wa mkutano Mkuu Taifa Amekuwa akitenga kiasi Cha Shilingi Milioni ,(7000.000) unsure emoticon Tsh) kwaajili ya kuhamasisha chama Kanda ya (Kaskazini) Ambayo inabeba na MKOA Wa Tanga. Viongozi wamekuwa wakichukua pesa hizo na hakuna ziara waliwahi kufanya Kwenye MKOA huu! na hakuna marejesho waliowahi kufanya. kuhusu matumizi ya pesa hizo.na hili wanalifahamu Mara kadhaa tumetaka uhamasishaji ufanyike kwenye MKOA wetu Wa tanga. lakini kwakuwa Pesa za uhamasishaji kazikumbatia mwenyekiti imekua ngumu kwa Viongozi wengine kupata rasilimali za kuhamasisha na hata tulipoomba ili kuhamasisha chama Katika Jimbo letu. LA Handeni. ili tuimalishe chama bado hatukupata uwezesho kwa hali hiyo hali ya chama kwa Ujumla imezolota sana jimboni Handeni na MKOA Wa Tanga kwa ujumla
pia chengine nikwamba Tangu kuanzishwa kwa Chama hicho mwaka 1992 na kupata hati ya kudumu na usajiri alali Wa chama hicho mwaka 1993 mpaka sasa mwenyekiti Wa chama Amekua mwenyekiti Wa MKOA Wa Kirimanjaro na Arusha peke yao Chama kimelala sana katika maeneo makubwa ya nchi Hasa vijijini Chama kimejengwa mijini tu! hali hiyo inatupa wakati mgumu Viongozi/wanachama kwani inaonekana kuwa sote hatufanyi kazi ya Chama hususani kwenye jimbo LA Handeni Viongozi tumekuwa tukipewa hila kwani tunaonekana tumeshindwa kujenga Chama
pia ndani ya Ukawa Wabunge na viongozi wanaotoka mikoa ya kirimanjaro na Arusha wanaendeza Ubinafsi kuhakikisha Chama kinaendelea kufanya vizuri kwenye mikoa hiyo na majimbo yote wanayo yatawala Chadema mpaka sasa pia viongozi Wa Chama ndani ya ukawa wameshindwa kukitetea Chama hadi sasa wajumbe Wa kamati ya Ufundi wilaya Ukawa wameondolewa kwasababu ya kukitetea chama hadi sasa kabaki mwenyekiti Wa Chama peke yake hili kama nilivyoliongea kwenye kikao mwaka mmoja uliopita pia naliweka hapa kwa rekodi kwamba tulipinga hila za mwenyekiti Taifa za kuiga mambo yakufanya Taasisi ya Chama kama Mali ya Familia kama wanavyofanya katika vyama vingine; mwenyekiti alihakikisha anatumia mbinu na hila wabunge Wa Viti maalumu wengi wanatoka KIRIMANJARO na Arusha mwenyekiti zaidi yakufaidi malupu lupu ya ubunge hao wabunge Viti maalumu kutoka mikoa iliyoitaja halo juu hatuoni michango yao ndani ya chama katika ujenzi wa chama
Nimbaya kufanya; vyama vya siasa ni vitega Uchumi vya kifamilia" hi yo nimeamua kujivua na kukoma kuwa mwanachama na mjumbe Wa mkutano Mkuu na kamati tendaji Napia kujivua uwanachama Wa Chama hicho
Pamoja na Kasoro hizo naondoka chadema kwa Utii mkubwa kwamba chama hicho kimenilea kisiasa kwa sehemu kubwa Mno""" nitabeba yote mazuri na mema kwaajiri Ya Taifa langu na jimbo langu kwamanufaa ya Watoto Na wajukuu zangu.
Nitakapoamua kufanya siasa Hakuna atakae nizuia"
slant........... contint
Kombo Twaha Mbwana
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments