[wanabidii] ANGUKO LA MWAKA HUU NI LA CHADEMA

Sunday, June 21, 2015

ANGUKO LA MWAKA HUU NI LA CHADEMA

Mdahalo ulikuwa wa viongozi wakuu wote wa vyama vya upinzani na sio watia nia wa nafasi ya urais.

Mh. James Francis Mbatia Zitto Kabwe na Makaidi hawa wote ni watia nia kwa nafasi ya ubunge lakini wote walikuja kama viongozi wa vyama vyao.

Iweje nyinyi mnao subiria skendo itoke ndio mnajua kuzungumza hamkuweza kufika kwenye mdahalo. Lakini wala sishangai kwa hilo kwa sababu chama lenu la CHADEMA linaongozwa na mpiga disco.

Kiongozi wa juu wa CHADEMA hasiye na CV. Yaan mpaka sasa elimu yake haijulikani kuwa alisomea nini mpaka Julius S. Mtatiro alishindwa kupata wasifu wa kiongozi wenu ili lingekuwa ni CCM au vyama vingine ingekuwa skendo.

CHADEMA ni chama ambacho kinaishi kwa tetesi, umbea, wizi, usuda na mambo mengine yanayo fanana na hayo. Ndio maana nikasema anguko la mwaka huu sio la CCM ni la CHADEMA.

Mbadala wa CHADEMA ni ACT Tanzania na vyama vingine vinavyo unda UKAWA. Mgombea wa urais wa UKAWA najua atakuwa Prof. Lipumba kwa sababu CV yake inajulikana na kila mtanzania.

ACT TANZANIA limekuja kusambaratisha mabwabwa wa CHADEMA. Na endeleeni hivyo hivyo kukimbia midahalo

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments