Ndugu zangu,
Kwenye kipengele cha ' Tembea Ujionee' - Nyumbani Na Diaspora. Mwanadada Mtanzania anayeishi Marekani, Fahari Wambura anazungumzia maisha na maana yake kwa ujumla. Ni kwenye maojiano yangu na yeye. Fahari Wambura aliondoka Tanzania mwaka 2004 kwenda kuishi New York, Marekani. Anazungumzia jamii ya Kitanzania na hususan vijana wanavyohadaika na wanayoyasoma mitandaoni na kuyaona mitandaoni. Mengi hayana uhalisia.Usikose kumsikiliza Ijumaa hii, na hapa ni kipande cha kipindi husika..https://www.youtube.com/watch?v=QgbxA42ntt8
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye4v6mCDy9ZjZSNikNRpoKD0VKoPcHeNyA11GOER1qTdmg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments