Pata mafunzo hatua kwa hatua jinsi gani unaweza kutoka kuwa mfanya biashara mdogo hadi kuwa mkubwa, kwa kupata mafunzo ya walimu wa biashara ( Business Coach/Mentors) toka CPM Business Consultants kwa gharama ya sh. 300,000 tu. Hata wachezaji wakubwa kama akina Ronaldo walikuwa na makocha wazuri ndiyo maana wakawa wachezaji wakubwa. Katika biashara napo ni vivyo hivyo.
Katika mafunzo haya utajifunza mambo yafuatayo;
1.Kubadili mtazamo kuhusu maisha kuwa na Ndoto na malengo.
2.Jinsi ya kubuni wazo zuri la biashara na kuanzisha biashara yako
3.Jinsi ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
4.Kutunza kumbukumbu za fedha, uwekezaji na nidhamu ya pesa.
5.Fursa za biashara ambazo unaweza kuzichukua na kuanza biashara yako mara moja.
CHARLES NAZI ni Mkurugenzi wa Kampuni ya CPM Business Consultants, Mjasiriamail,Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara , Kupata ushauri wa biashara na Kupata mafunzo ya ujasiriamali Piga simu namba 0784394701
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments