Habari za jumapili ndugu zangu! Naomba elimu kwa wenye kujua swala hili! Hizi pampu za kuuzia mafuta katika "petrol stations" ni nani hasa mdhibiti wa vipimo hivi vya mafuta? Maana kila nikipita katika hivi vituo sioni kama kweli pampu hizo zinakaguliwa ipasavyo. Nchi za jirani utaikuta pampu imebandikwa karatasi inaonyesha lini imekaguliwa na pia kupangia tarehe nyingine ya ukaguzi unao fuata. Hapa kulikoni?
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments