[wanabidii] NAPE NI LUZA MKUBWA ,AKILI NDOGO ,ASIWAPE TABU

Tuesday, February 10, 2015

Niwakumbushe kidogo yaliyojiri mwaka 2005 katika mbio za urais

Nape Mnauye katika mbio za urais mwaka 2005 alikuwa kambi ya Prof Mark Mwandosya,na kwakweli alitumika kuinitiate mambo hasi kabisa dhidi ya JK

Alizunguka nchi nzima akimchafu JK,alisikika akisema kila mara kuwa JK ni mgonjwa na kwamba hawezi kumaliza miaka mitano

Kibaya zaidi alimwambia JK waziwazi kwamba akishinda Urais anahama nchi ,na ndicho kilichotokea kwani baada ya Jk kuingia magogoni Alikwenda kusoma India,huko India alilipiwa karo na Baba yake wa kweli

Ogopeni mtu anayefoji mpaka mzazi wake

Ni mtu ambaye huwa hapati shida kutukana wazee kwani hata yeye binafsi hamtambui Baba yake

Huyu jamaa ni small Brain,idara ya itikadi na uenezi imemshinda,ameua propaganda ya CCM na ndiyo maana siku hizi wapinzani wanapiga ngoma,CCM wanacheza

Chama kimebaki na jukumu la kujibu mashambulizi ya upinzani hususan CDM

NAPE siyo mbunifu,ameshindwa kubuni training kwa ajili ya makada wa chama,ameshindwa kuviendesha vyombo vya habari vya chama,fanya tathmini kuwa gazeti la uhuru linauzwa pisi ngapi jwa siku?gazeti limepoteza mvuto hata kwa wana CCM wenyewe,

Tuje radio uhuru,hivi radio uhuru ina mvuto? Hapana

Hivi Nape amefanikiwa kwenye lipi kama ameshindwa kueneza itikadi ya CCM?

Ni hivi,huyu ni mtu ambaye 24 hours anapiga majungu,na kwa kweli anapoongea na vyombo vya habari unashindwa kujua anaongea kama mwenezi wa chama au anaeneza hisia zake?majungu yamepelekea mpaka divorce kwani mke wake aliachika miaka miwili iliyopita

Mara nyingi yale anayozungumza yanakuwa hisia na siyo maamuzi ya vikao na ndiyo maana Katibu Mkuu Kinana amekuwa akimdhibiti vilivyo

Kwa kifupi,Nape asiwape tabu,hana nguvu yoyote kwenye issue ya urais,yeye huwa ni Looser siku zote na kwa kweli ni Small Brain Tumpime raisi ajae kwenye nafasi hizi
1= Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama
2=mwenyekiti wa CCM Taifa
3=mkuu wa Taasisi ya uraisi.
This needs maturity
Twendeni pamoja, nikisimama mnisukume kwenda mbele na nikirudi nyuma mnipige risasi" haya ni maneno ambayo kila mpiganaji anapaswa ayazingatie

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments