[wanabidii] INAFRIKA BAND KUTOKA DAR WAMELITINGISHA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI

Sunday, February 15, 2015

INAFRIKA BAND KUTOKA DAR WATINGISHA JIJI LA BREMEN,UJERUMANI

     TANZANIAN FOLK MUSIC MADE IN BONGO TO THE WORLD !
                         IMEKUBALIKA KIMATAIFA





Bendi ya muziki INAFRIKA BAND aka "Wazee wa Indege" kutoka jiji Dar ,ilifanikiwa kulitingisha jiji la Bremen,nchini Ujerumani katika onyesho liliofanyika usiku wa 13 Februari 2015 katika ukumbi mkubwa wa Musik-Theater mjini Bremen,Ujerumani,
ambako bendi hiyo kutoka Chang'ombe ilisimama jukwaani na kuziteka nyoyo za maelfu ya wapenzi wa muziki ,aidha bendi ya Inafrika bend imetajwa kuwa bendi
bora ya muziki wa Folk na radio Funkhaus-Europe .Vionjo vya mitindo ya muziki wa asili wa makabila ya kitanzania vilivyotumiwa na Inafrika Band katika kuteka yonyo za washabiki kila kuona duniani. Inafrika Band imefanikiwa kuliweka jina ala Tanzania katika tufe la dunia kwa kutumia mitindo yake ya vionjo vya kiasilia.
Inafrika Band ndio bendi kwanza yenye makao Tanzania inayoongoza kufanya tour ndefu duniani wameshafanya ziara katika mabara yote duniani kuanzia Afrika,Austaria,Amerika,Asia ,Europe na visiwa vya Karebiki.
Wakali hawa wa mdundo inayokubalika kimataifa wanatisha na kuzoa washabiki kwa dhoruba kali la mtindo wao wa muziki. Inafrika band inatuwakilisha bado wapo katika ziara ndefu na wanahakikisha kuwa muzikiwa wao unasikika kila kona nje ya mipaka ya kimataifa.
msikose kuwasikiliza Inafrika Band (Wazee wa Indege) at http://www.inafrikaband.co.tz pia wape hi at info@inafrikaband.co.tz ii




--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments