SALAAM SANA WANA JAMII FORUM NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA:
Mimi Ndg "FREDINARND MASHAURI CHIGUMA" mkazi wa "SUGUTI-NYAMBUI" Jimbo la Musoma Vijijini napenda kuweka kwenu wazi nia yangu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Musoma Vijijini uchaguzi mkuu ujao kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA). Ni wakati makini kwangu mimi sasa na wana MUSOMA VIJIJINI kushikamana pamoja ili tuweze kulijenga jimbo letu kwa Maendeleo Mujarabu ya vizazi vyetu vya leo na kesho.
Tunapojiandaa sasa kuelekea uchaguzi mkuu ujao nahitaji ushirikiano kutoka kwa wadau mbalimbali pasipo kujali itikadi zetu. Niko tayari kupokea ushauri,mawazo,shime mbalimbali kutoka kwa wadau tofauti tofauti.
Nashukuru kwa muda wako kupitia katika taarifa hii,na mara usomapo nia yangu hii waweza pia kushirikisha wadau wengine. Nashukuru na waweza wasiliana nami kupitia barua pepe ifuatayo : mashaurifredinarnd@yahoo.com
Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania,
Amen
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments