[wanabidii] biashara ya uuzaji wa tabaka na athari zake

Tuesday, February 10, 2015
nimevutiwa sana na makala hayo nikiwa kama mgonjwa wa vidonda vya tumbo nilikutana na mtu akanielekeza uko samora avenue kwa hao dynafarm nikapitia kwa mwanachama nikapewa hizo dawa hii ni wiki ya pili sioni nafuu ndio kwanza kama tatizo limezidi nimetumia pesa nyingi na bado nimeambiwa baada ya wiki tatu nikachukue dawa za kupunguza unene kinyume na hapo nitakuwa siponi na daktari ni mkali hataki umdadisi kwa bahati nikapata wazo la ku-google madhara ya hizi dawa ndio naona hii makala nimepata uelewa wa hizi dawa na zilizobaki naenda kuzitupa sasa hivi

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments