Wandugu,
Neville Meena amehamia gazeti la Tanzania Daima. Baadhi ya watu wanaona siyo kuhama kwa kawaida bali kuna jambo. Kwa siku za karibuni Meena amekuwa dhahiri akionekana kuwa na msimamo mkali pale Chadema inapoguswa. Aidha gazeti alilokuwa akifanyia kazi la Mwananchi limejipambanua kwa weledi na kutolalia upande wowote katika siasa zetu.
Labda ni kutokana na hili baadhi ya watu kama Mchunguzihuru aliyeweka habari katika mtandao wa wanabidii amesema "Meena amefukuzwa Mwananchi".
Namtakia kila kheri na mimi mawazo yangu ni kuwa makocha wanapanga.kikosi cha mashambulizi kuelekea Octoba. Ngoja tuone. Maswali mengine kwa sasa siyo muda muafaka.
Mzee wa Utata nimewaza!!
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6QhnCk%3DmqcANfRx1wB0ENRCYwNoqOtLPD0%3DzLmv3WrFtRA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments