Wakuu shaloom
Napenda kutoa ufafanuzi mdogo kuhusu nafasi ya kazi tulio tangaza kwenu
Ni hivi; Kazi hii ni kua mtendaji mkuu ktk kampuni moja ya hapa jijini yenye supermaket 4 kubwa na bekary moja;
atakua anasimamia supermaket zote hizo na bekari hizo pamoja na wafanyakazi wake mmmiliki yeye ana kaz nyingine ktk kampuni nyingine hivyo mtu huyu atakua mtendaji mkuu kusimamia hadi itoe faida- its a target oriented post
Pia si lazima uwe na master degee kwa kua mshahara ni wa kawaida sana
Ila atapewa usafir
na marupurupu mingi tu
ila ni kazi inayotakiwa ubunifu mkubwa ndio maana lazima awe na uzoefu wa kuendesha na kusimamia biashara kama hizo, hivyo mtu mwenye degree au advanced diploma aaaplly tu ila iwe ni economy, account au finance ama bus admin
Wanawake watapewa kipaumbele mkubwa
Naomba mlete application wakuuu
apply to;
aramakurias@yahoo.com
0652 314181
0 Comments