[wanabidii] FREEMAN MBOWE NA JOYCE MUKYA WATUMIA MJOMBA WA MTOTO KUPATA CHETI CHA KUZALIW

Wednesday, December 17, 2014
FREEMAN MBOWE NA JOYCE MUKYA WATUMIA MJOMBA WA MTOTO KUPATA CHETI CHA KUZALIWA
KAtika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani Bungeni, FREEMAN AIKAELI MBOWE na Mbunge wa viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo, JOYCE MUKYA wamelazimika kutumia MJOMBA wa mtoto wao CAYLA-STACY aliyezaliwa 16 Aprili, 2013 ili kufanikisha kupatikana kwa shahada ya kuzaliwa. WILLIAM CHRISTOPHER SHECHAMBO, MJomba wa CAYLA-STACY(KAKA wa JOYCE MUKYA) ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha Mpwa wake anapata shahada ya kuzaliwa badala ya Wazazi wa mtoto kama ambavyo imezoeleka. 
Vifuatavyo ni viambatisho vya fomu ya RITA na KADI YA KLINIKI YA MTOTO

 

 

 


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments