[Mabadiliko] Kwanini JK anapenda Kuhutubia Taifa kupitia Wazee wa DSM? (Ijumaa hii atahutubia)

Wednesday, December 17, 2014
Nimeisikia na kusoma kwenye media mbalimbali kuwa Prof JK atalihutubia taifa kupitia Wazee wa DSM siku ya Ijumaa. 

Hivi kuna siri gani kwa hao wazee? Maana ni wazee wa DSM au wa Dom tu, kwanini JK anapenda kuongea na wazee na si kuongea either na Wanataaluma hivi, au wananchi kwa ujumla?

Unaweza tabiri nini atakiongea kwa kuangalia historia ya hotuba zake kupitia wazee hao hao wa DSM?

--
Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPd8eK9%2BhX2W1kvCR2Pq9gLfH%3DEjU_k6z1h9bhYq26qQYueuvg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments