[Mabadiliko] Tetesi: Wilfred Lwakatare kafutiwa kesi ya ugaidi.

Saturday, December 06, 2014
Jana nilisoma kwenye mitandao ya kijamii kwamba Lwakatare amefutiwa kesi ya ugaidi ilokuwa inamkabili.

Nimetumbua macho kwenye Luninga jana lakini sikuona hiyo news.

Ukweli ukoje?






Sent from Samsung tablet

Share this :

Related Posts

0 Comments