[Mabadiliko] Kumbe serikali inaweza kufukuza watendaji wabovu?

Thursday, December 18, 2014
Namsikia Hawa Ghasia, anasema eti wamekosa umakini kama moja ya makosa
yao, kuchelewa kupeleka vifaa, kutoa taarifa za kupotosha, kufanya
uzembe nk Yaani haya makosa ukiyalinganisha na yale ya kutafuna
mahela ya umma au ukilinganisha na yale ya kina prof huwezi kuamini
serikali imepata wapi hizi nguvu za ghafla!

--


Cell: +255 754 388 882

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com


For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMcDKfJ%2BE-tZk%3Dg99f6_sTqOcF4NnejJc-Nv_yqsaFDLH2Ar%2Bw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments