Swali: Zoezi la kusajili simu bado kuna tatizo, je zoezi hilo limesaidia nini
Jibu: Sheria inasema ni kosa la jinai kutumia namba ambayo haijasajiliwa, zoezi limepunguza kwa kiwango kikubwa uhalifu na kuzima namba ambazo hazijasajiliwa. Ataebainika faini 500,000 na kifungo miezi mitatu na hairuhusiwi kuuza laini za simu kiholela
Swali: Kwanini badala ya kumuazibu mwananchi, zimeki kwenye kampuni kama Dubai na China pia India, wapi akalalamike mteja kutokana na makampuni ya simu
Jibu:Tatizo kubwa sio kusajiliwa kwa simu lakiini ni kusajiliwa kwa vitambulisho feki, unaazishwa mfumo mpya na simu zitasajiliwa upya
Ushauri umechukuliwa na kuna mpango wa kuongeza adahabu
Watu kujisajili kwa majina ya watu na kufanyia uhalifu wa kuchangia, polisi hawana uwezo kudeal na cyber crimes
Utapeli kwa kutumia internet umeongezeka sana, serikali italeta sheria kubwa tatu kudhibiti utapeli kwa njia ya inernet, vyombo havina uwezo wa kufatilia vizuri wizi wa mtandao lakini pia wananchi wawe waangalifu kuambiwa kuchangia kwa kutumia majina ya watu maarufu
Swali:Kutumia namba isiyosajiliwa ni kosa, Je sio kosa la jinai kuwauzia watu nyimbo ambao hawajaomba?Matha Mlacha-Singida
Jibu: Sheria inakataza kukata fedha kwa huduma ambayo mteja hajaomba au hajaitumiaKuna kituo kitakua kinapokea malalamiko kwenye makampuni ya simu
Swali: Miongoni mwa vitu vinavyoleta maendeleo ni mawasiliano, lini vijijini!
Jibu: Mfuko wamawasiliano kwa wate una lengo la kupeleka huduma ya wasiliano kwa vijiji visivyovutia mawasiliano kibiashara, inafanyika kwa hatua kulingana na fedha zinavyopatikana
Serikali imeingia mkataba maalamu na Vietel kujenga mkonga maalumu kufikia vijiji vyote ambavyo havijafikiwa na mawasiliano

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments